Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Huyu Dota ofu Godi ni aina spesheli ya Mwakaleli. Orijino yeye ni mcheshi tu japo pia ukimuingia vibaya ukamkuta hajakaa sawa waweza kujikuta unakula za uso tena zisizoeleweka mpaka ukajikuta unashangaa.Mwakaleli orijino mshauri ajiunge huku tufaidi ubishi wake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aiseee ili asikufukuze kwenye uzi wake
Mnajuaje kama anahamisha wachangiaji?
Mimi nadhani wachangiaji wanachagua wenyewe wapi wachangie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aaah ipo siku utaleta ushuhuda[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Uzi nilishauchoka[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Namtetea kwa sababu sijaona kosa lake..
Na nyuzi zake huwa zinavutia watu kuchangia kwa sababu Ni mbunifu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi siwezi kuona tatizo kwa kupitia comments za watu.Hata mimi sikuona kama ana tatizo. Ila baada yakusoma koment humu ndio nkaona
Hapana. Ni utani wa siku nyingi. Hata Lizarazu mwenyewe Msukuma akija hapa ataendelea kuwasha moto. As usual hakuna kitu siriazi wala hatumsemi mtu kwa ubaya...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu Dota ofu Godi ni aina spesheli ya Mwakaleli. Orijino yeye ni mcheshi tu japo pia ukimuingia vibaya ukamkuta hajakaa sawa waweza kujikuta unakula za uso tena zisizoeleweka mpaka ukajikuta unashangaa.
Nakuona dada wa lizarazu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji3][emoji3] Au mnaogopa asiwaloge
Anne habari nyingine kwa ubishi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mh !!!Yule Ni mgomvi..ukibishana nae ukamzidi anaweza kukutandika na vibao
Ataishia kumwaga mitusi[emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ninesoma vizuri Sana.
Duh! Hata picha huoniMimi siwezi kuona tatizo kwa kupitia comments za watu.
Labda nije kushuhudia mwenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu dada wa lizarazu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hapana. Ni utani wa siku nyingi. Hata Lizarazu mwenyewe Msukuma akija hapa ataendelea kuwasha moto. As usual hakuna kitu siriazi wala hatumsemi mtu kwa ubaya...
Sawa kabisa....akija huku atapewa LIKES mpaka awe mpole....
Hapana. Ni utani wa siku nyingi. Hata Lizarazu mwenyewe Msukuma akija hapa ataendelea kuwasha moto. As usual hakuna kitu siriazi wala hatumsemi mtu kwa ubaya...
Kuna jamaa mmoja kasema eti jamaa uzi anakuvurugia kwa kukujazia link zake, demu wako anakuchapia na ukizubaa anakushusha busha [emoji16][emoji16][emoji16]Hahaha[emoji23][emoji23]
Jamaa anatumia nadharia ya ulozi kuendesha vitisho hatimaye kujitwalia warembo kiulaini[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ninesoma vizuri Sana.
N brother SYB kaweka link ya Uzi hapo Kama mfano..nimeenda na sijaona tatizo lolote
Sent using Jamii Forums mobile app