Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hao miamba wa hispania wanashangaza sana. Mmoja akipigwa na mwenzie anapigwa,akitoka droo na mwenzie droo. Huu ulikua wakati mzuri wa Messi kuitawala la liga hasa kipindi hiki madrid haina straika mkali. Ila barca kachapwa 1 na athletic

True, ukiangalia idadi ya games walizopoteza points wote sasa hivi inatia huruma.

Nadhani kwa kipindi kirefu tutaona mshindi wa La Liga akiwa na points chache zaidi
 
Nasikia bradha Ni mpare.
Nisije kufa njaa mie[emoji1787][emoji1787].

Kuna mpare mmoja hapa jirani huwa usiku anakula ubuyu,anashushia na maji kukwepa gharama kubwa za chakula.[emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
ha ha ha kwa ndugu yangu Daemusin utakula kila kitu japo sina uhakika kama ataleta parachichi kila siku
 
True, ukiangalia idadi ya games walizopoteza points wote sasa hivi inatia huruma.

Nadhani kwa kipindi kirefu tutaona mshindi wa La Liga akiwa na points chache zaidi
Halafu mashabiki wanailinganisha epl na la liga. Na kusema epl nyepesi hasa enzi pep anatawala,saiv kabanwa bado wamepata cha kusema kisa points za liver kuwa juu. Wao hawajioni ile la liga ni ya timu mbili,atleco wa tatu kila msimu
 
Nasikia bradha Ni mpare.
Nisije kufa njaa mie[emoji1787][emoji1787].

Kuna mpare mmoja hapa jirani huwa usiku anakula ubuyu,anashushia na maji kukwepa gharama kubwa za chakula.[emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Bradha pia kuna mpare mwingine uniq
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…