D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
Unataka kutoka kwenye ile channel yetu pendwa? Ole wakowatumiaji wa telegram msaada...
kama umejiunga channel fulani na umeweka baadhi ya info.....
utakapoamua kujiondoa kwenye channel hiyo zile information zako zinapotea au zitaendelea kubaki kwenye channel?
msaada, najua naweza kupata majibu ya kutosha kwa mr google
teh teh kwani ile ni ndoa ya kikristo?
[emoji3][emoji3][emoji3] eti MwakaparachichiStella Mwakaparachichi
good morning
Duh!!Debe tu latosha.
Halafu akiniweka ndani aniletee kila siku Nile[emoji39][emoji39][emoji7]
Sent using Jamii Forums mobile app
Usitoke kweli sunbae niko chini ya miguu yako. Nilipo hapa sijaangalia drama hata moja kule nasubiria nipate simu ambayo Song seung heon aliniahidi atanitumia [emoji14][emoji14]teh teh kwani ile ni ndoa ya kikristo?
Nasikia Yona hakuwa mpare, maana angemwambia wife andaa ugali nimo ndani ya mboga.Nasikia bradha Ni mpare.
Nisije kufa njaa mie[emoji1787][emoji1787].
Kuna mpare mmoja hapa jirani huwa usiku anakula ubuyu,anashushia na maji kukwepa gharama kubwa za chakula.[emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
pole sana ila bado swali langu sijajibiwa....Usitoke kweli sunbae niko chini ya miguu yako. Nilipo hapa sijaangalia drama hata moja kule nasubiria nipate simu ambayo Song seung heon aliniahidi atanitumia [emoji14][emoji14]
Sent using Jamii Forums mobile app