Drizzle
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 4,857
- 14,748
Jamani jamani, sasa ukitoka zile drama zote ulizoweka zinafutikapole sana ila bado swali langu sijajibiwa....
kwani hujawahi kutumia telegram kabla?
sitongozeki mwaka huu
navunja ndoa haijalishi padre amekimbia na mkataba wa ndoa
kivipi zifutike...dadavua kidogo
kivipi zifutike...dadavua kidogo
Hapo ndio utaukumbuka ule wimbo,... wanaume tumeumbwa matesa.[emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1349572
ok kumbe ndoa yangu imekuwa ya mwili mmoja....