Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hivi ukisikia mafisadi, wabadhirifu, wanaoiba maofisini kwanini karibia asilimia 95% ni wanaume huwa wanazifanyia nini hizo hela kama hawana matumizi nazo.. ?
 
huenda ana undugu na maxence melo
ndani ya nusu amebadilishiwa jina lake wakati sisi wengine tunakaa siku nzima au zaidi.
Aisee. Namsubiri Daughter of God naye aturudishie jina letu...

Melo na mods wake ukiwabahatisha ishu yako inatatuliwa pale pale. Ukiwakosa hata mwezi utaisha [emoji16]
 
The female scientist who changed human fertility forever
She was the first person to successfully fertilise a human egg in vitro, changing reproductive medicine forever – but few people know her name today.

The Miriam Menkin story is a little different. One Tuesday in February 1944, the 43-year-old lab technician was up all night soothing her eight-month-old daughter – “an in vivo specimen”, she liked to say – who had just started teething. The next morning, Menkin went into her lab, just as she had every week for the past six years. Wednesdays were when she introduced a newly washed egg to a cloud of sperm solution in a glass dish and prayed that two would become one.
 
Hivi ukisikia mafisadi, wabadhirifu, wanaoiba maofisini kwanini karibia asilimia 95% ni wanaume huwa wanazifanyia nini hizo hela kama hawana matumizi nazo.. ?
hizo pesa watumiaji wakubwa ni wanawake.....
jaribu kuchunguza ndani ya familia yenu / yako ni jinsia ipi inayogharamiwa zaidi na viongozi wa familia (baba na mama).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…