Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Matanuzi... matanuzi...
Wajinga hao kazi yao ni kujenga mahekalu ya ajabu, kuficha nje na kugawa Vitz, Harrier na Rav4 kwa mademu zao....

Kuna rafiki yangu alizipiga mwaka juzi $ milioni kama tatu hivi na ushee michepuko yake yote kwa sasa inasukuma Range Rover mpyaaa japo kijijini kwa mama yake hajapatengeneza.

Wanawake nyie mnatuponza sometimes....
 
Hebu toa kontakt zake hapa😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…