Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

kwa mujibu wa filamu ameshindwa kutimiza ahadi yake..... kilichofuata amenyang'anywa tecon M3.
wasiwasi wangu upo kwa kamanda kutoka chato BAK
Huyu kamanda bwana kwa kweli hata mimi nina wasiwasi naye. Kuna jamaa alitaja ishu ya mtu aliyedakwa JKNIA airport akitokea kwa Trump na baadhi ya watu wali- speculate kuwa huenda alikuwa ni yeye. Uzi uliwekwa JF lakini ukafutwa fasta...
 
Kaka mimi mzima...sijui wewe.
Yaani leo niko na mizeituni ya kijani....

unajua nina nywila yake, kwahiyo napata notifikesheni.

mfilisti mpenzi ukimaliza kula uje kujibu maswali huku.
Shemeji langu la nguvu, kwema?

Wamemtaja bae wako naona ushaibuka. Au ulikuwa kwenye mishe zako za kutafuta maembe mabichi?
 
Huyu kamanda bwana kwa kweli hata mimi nina wasiwasi naye. Kuna jamaa alitaja ishu ya mtu aliyedakwa JKNIA airport akitokea kwa Trump na baadhi ya watu wali- speculate kuwa huenda alikuwa ni yeye. Uzi uliwekwa JF lakini ukafutwa fasta...
ila BAK ni mdau wa zamani sana humu ndani tokea kuanzishwa kwa JF, inawezekanaje kukosa marafiki watakaoweza kufahamu taarifa zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…