Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Afadhali hata wewe unaye huyo mfokea watoto. Mimi sina hata mmoja ambaye leo hii nikizima eti atakuja kuleta habari humu. Na uzee huu nilionao na mada zangu za kijinga humu hata mtu angekuja kusema ukweli watu wasingemwamini...Ulivyouliza swali hili nikatafakari kama mimi ninao marafiki wa aina hiyo ghafla nikamsikia mwanaJf mmoja huko nje anafokea fokea watoto [emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna makosa ya kijinga unafanyiwa unasamehe lakini huwezi kusahau [emoji16][emoji16][emoji16]
unaguna kama umekula mapera
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unaguna kama umekula mapera
Father of many avatars..unaguna kama umekula mapera
Hata huyu mwenyewe hawezi kuja kuanzisha siredi ila labda aone watu wananiulizia sana huku wakati mwenyewe nishajiozea chini ya ardhiAfadhali hata wewe unaye huyo mfokea watoto. Mimi sina hata mmoja ambaye leo hii nikizima eti atakuja kuleta habari humu. Na uzee huu nilionao na mada zangu za kijinga humu hata mtu angekuja kusema ukweli watu wasingemwamini...
dah!Wewe humu una marafiki ambao leo hii ukipaliwa na urojo wa moto ukakata roho watakuja kuleta taarifa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniWakazi wa Buza wanaonewa [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1352289
neeeee hiyo heshima ulionipa hujakosea dongsaeng..Father of many avatars..
Hongera sana.. unajitahidineeeee hiyo heshima ulionipa hujakosea dongsaeng..
kuna avatar nyengine itapandishwa muda mchache ujao.
teh teh teh
Mkuu uwe unaandika na location
Hii ndo ile kauli ya "iko unachokitafuta utakipata" [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23] "unachokitafuta utakipata"