moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Kama Ukichukua Tunda Bovu na Ukaweka Kwenye Tunda Nzuri Kipi Kinatokea ?? Fangasi Kwenye Tunda Bovu Itasambaa Mpaka Kwenye Matunda Mazuri na Kuharibu Yote. Hii Inatokea Pale Unapozungukwa Na Watu Wajinga.. Utakua Kama Wao.View attachment 1352363
upo kwenye afya yake...
pengine anasikilizia mshindo wa siasa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]waimbaji nyimbo za msiba tutakuleteaaa
marehemuuuu alipenda likes
tiriririririr
marehemu alipenda ligiiii
tiririririrrr
marehemu alipenda kichambo
tiriririririrrrrrriii
itakuwa walikufanyia makusudi....
huenda wanakufahamu
hahahahahaaaaaaaaaa
Ngasa hakua na akili za maendeleo,mawazo yake yalikua kupata hela za haraka akamilishe idadi ya wake wanne.mrisho ngassa alipokwenda west ham alipewa kuku mwenye ukubwa kama wa huyo ndege akashindwa kula wote.
akapewa kitanda alale cha ajabu akajikunyata kama mgonjwa wa malaria...
west ham wakamkataa
View attachment 1352396
huyu fala aliyachezea maisha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamaa alimezwa na jongoo anamsingizia chatoooo
Nilimezwa na chatu mwaka 2008
Sitaisahau elnino ya mwaka tajwa hapo juu, mvua zilikuwa kubwa sana kule maeneo ya Mbeya bila kujua nikaingia kwenye mtego wa chatu, alinidondosha. Pona yangu sikuamka, na ukilala chali chatu hakuwezi alinitambaa sana mwilini ili anivingirishe ila nilijikaza na ile ngozi yake laini ilivyokuwa...www.jamiiforums.com
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie sina hata mmoja so mkiona kimya mwezi mmoja mjue parapanda ishalia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahahahaha.
Nimecheka kwa nguvu mpaka watu wananikodolea macho[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
mrisho ngassa alipokwenda west ham alipewa kuku mwenye ukubwa kama wa huyo ndege akashindwa kula wote.
akapewa kitanda alale cha ajabu akajikunyata kama mgonjwa wa malaria...
west ham wakamkataa
View attachment 1352396
huyu fala aliyachezea maisha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
waimbaji nyimbo za msiba tutakuleteaaa
marehemuuuu alipenda likes
tiriririririr
marehemu alipenda ligiiii
tiririririrrr
marehemu alipenda kichambo
tiriririririrrrrrriii
marehemu alikuwa ni rafiki mzuri wa bibi hansi mtanashati[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji443][emoji443]Marehemu alikuwa rolo modo mzuri tiriririririr
Marehemu alikuwa anonimazi foreva tiriririririr
Marehemu alikataa kwenda kumuona The Don Gold Crest tiriririririr
Marehemu alikuwa hazoeleki tiriririririr [emoji443][emoji443]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie sina hata mmoja so mkiona kimya mwezi mmoja mjue parapanda ishalia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aiseee sina damu ya mwakaleli hapo ndo tatizo lilipo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]marehemu alikuwa ni rafiki mzuri wa bibi hansi mtanashati
waitikiaji kiitikio :mhhhhhhhhh beti imekosewaaaaa