Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Huyu kamanda bwana kwa kweli hata mimi nina wasiwasi naye. Kuna jamaa alitaja ishu ya mtu aliyedakwa JKNIA airport akitokea kwa Trump na baadhi ya watu wali- speculate kuwa huenda alikuwa ni yeye. Uzi uliwekwa JF lakini ukafutwa fasta...
Inawezekana yuko sehemu hawezi kutumia mitandao....anakula kib@n0
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…