Mbona kimya sasa
Nashukuru ngoja nijaribuhyo picha unaitoa wapi?
kutoka kwenye website bonyeza copy and paste humu ndani.
kama inatoka kwenye device bonyeza hiyo icon ya picha hapo juu... very easy
Kuna mawiliHata mimi nilijiuliza hili swali maana jamaa yeye kwenye nyuzi za umbea
Nashukuru ngoja nijaribuhyo picha unaitoa wapi?
kutoka kwenye website bonyeza copy and paste humu ndani.
kama inatoka kwenye device bonyeza hiyo icon ya picha hapo juu... very easy
njia hii inaitwa kujishitukizia,Ameenda Kwenye search engine akaandika jina lake..
Wakamletea sehemu zote alizoandikwa hata Kama hajatagiwa.
Dohnjia hii inaitwa kujishitukizia,
kujimwambafy,
kujishukunuku ulimwengu upo huku,
kujishebedua kwa lengo la kujua nguvu yako kwenye mtandao husika
hujapokea notification, alerts kutoka kwa member yeyote (no likes, no quotes, no tags)
Sometimes app haileti notifications,mtu anaweza kukutag na usione..njia hii inaitwa kujishitukizia,
kujimwambafy,
kujishukunuku ulimwengu upo huku,
kujishebedua kwa lengo la kujua nguvu yako kwenye mtandao husika
OKSometimes app haileti notifications,mtu anaweza kukutag na usuone..
Ndiyo maana mtu anaweza kwenda na kusearch hivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa sie wenye app notification hatupati, hiyo ndio njia tunatumia kuona sehemu tuliyotajwahujapokea notification, alerts kutoka kwa member yeyote (no likes, no quotes, no tags)
utoke mbiooo uende kwenye search "Daemusin"
[emoji23][emoji23][emoji23]OK
nathubutuje kum-challenge daughter of klopp
hajui kuandika hivyo basi sidhani kama ataweza kukujibu
bado hujawa legend
Hadi kuja kufikia kesho kutwa ntakua icon kabisabado hujawa legend
jaribu tena