Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hongera sana [emoji1547][emoji1547][emoji1547]Da nimeweza kuapload pics
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hajui kuandika hivyo basi sidhani kama ataweza kukujibu
Mkwepu ndo nan[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
mkwepu jr njoo basi utusalimie
Sent using Jamii Forums mobile app
hapana hapana haihitaji keshokutwa.....Hadi kuja kufikia kesho kutwa ntakua icon kabisa
handsome boy kutoka chato....Mkwepu ndo nan
Huwa unakuwa tagged sehemu nyingi eeh!? Ndiyo shida ya kuwa famous hiyo...[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata Mimi mwenyewe huwa nafanya hivyo..maana huwa nakuwa tagged sehemu nyingi na sipati kabisa notifications au zinakuja ila si kwa wakati..
Though kwa sasa najaribu jaribu kutumia browser
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila kwa hili koti sijaona tag yoyote yaani.Huwa unakuwa tagged sehemu nyingi eeh!? Ndiyo shida ya kuwa famous hiyo...[emoji16][emoji16]
anashabikia manchester united hivyo basiiii hapendi urafiki na washamba wa mjini(liverpool)
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]anashabikia manchester united hivyo basiiii hapendi urafiki na washamba wa mjini(liverpool)
Lakini si umeweka ili tuone? Ndio maana nimesema nimeacha mimi kwenda kwa sababu siwezi kuwapangia ningekuwa naweza kuwapangia ningekuwa naenda kuwapangia
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hili nakuunga mkono kabisa kabisa. Halafu sasa utakuta hata picha inayofutwa fasta imesilibwa miemoji kichwa kizima hakionekani. Wakati mwingine ni kiwiko pekee lakini nacho kinafutwa fasta. If you are that insecure, why did you dare post it in the first place?...Lakini kama ulivyosema hakuna kupangiana....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umemaliza. Na hii inaenda sambamba na wale wanaoquote post then wanafuta. Unakuta Daughter of God quoted you halafu ukifungua unakutana na invalid post. Inakera sana
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16] we futa tu siwezi kukupangia kwenye picha yako mwenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hili nakuunga mkono kabisa kabisa. Halafu sasa utakuta hata picha inayofutwa fasta imesilibwa miemoji kichwa kizima hakionekani. Wakati mwingine ni kiwiko pekee lakini nacho kinafutwa fasta. If you are that insecure, why did you dare post it in the first place?...Lakini kama ulivyosema hakuna kupangiana....
Afadhali wewe unajiamini ukiweka picha yako huitoi no mata whati. Tena ukitinga vile vitenge vyako matata mabaharia watapiga makelele weee unawacheki tu. I like a confident woman [emoji1547][emoji1547][emoji1547]Imesilibwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Andamaneni basi
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah..Afadhali wewe unajiamini ukiweka picha yako huitoi no mata whati. Tena ukitinga vile vitenge vyako matata mabaharia watapiga makelele weee unawacheki. I like a confident woman [emoji1547][emoji1547][emoji1547]