Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Huku hatujambo numby, uzima upo.Hahahahaha ninge bana,mzima huko?
Hapa wazima kabisa
King katekwa tena
Bradha nae kabanwa na jr
Coco kanasa kwa kadada kwa kirwanda opsss kgotha asione hapa
Carba yupo kwenye maandalilizi bab kubwa ya valentine
Poti keshandaaa maua roli zima
Ndoa ya mkeka ndani ya uzi huu bado inapumua
Baba urojo kahamia kwenye wali
HahahaHuku hatujambo numby, uzima upo.
Ha ha ha asante kwa update nzuri kama hivi numby, napata wapi pa kuanzia[emoji23]
Carba na valentine?? Ngoja nisubili hapa
Sijapata update za kijana mpole Cole
Capitalpool hajawai niangusha kwenye teuzi zake[emoji23][emoji23]
Ha ha haHahaha
Kijana mpole anaibuka nakupotea kama nzige wa kilimanjaro
Jirani bado anatupa pole kila siku
Anko ndo adimu kama nyanya sokoni
Th uwiiii huyu anti sijui kapotezwa na nani
Bae wako ooohooo kama hujaibiwa sijui tu maana unapotea ghaflaa cheiiiii
Salama mpendwa, habari za kwakoHabarini za Jumanne wapendwa?
Nawatakia mchana mwema, msisahau kula.
Bradha hana bahati hizo labda mkokaa ila nae kaadimika hivyo bae wako kama hajakupa kibuti jua upo salamaHa ha ha
Hapo kwa bae, ngoja kwanza maana simuelewi elewi unaweza kuta Bradhaa ameshanitilia ndimu tayali[emoji23][emoji23]
Ukimpata King na Th unakuwa umempata tayal
Binti wa Mungu ndio yule shabiki wa majongoo? [emoji23][emoji23] kabadiri jezi hata jogoo hajabeba ubingwa akibeba sasa[emoji2][emoji2]
Salama mpendwa, habari za kwako
Mchana mwema na kwako pia.
Ha ha stella.. Nilishasahau hili jina.Bradha hana bahati hizo labda mkokaa ila nae kaadimika hivyo bae wako kama hajakupa kibuti jua upo salama
Stella kabadili jezi ila matendo yale yale. Akibeba ubingwa tutakoma humu
Hahahahahaa aiseeeLeo nimeamka nafuraha nikidhani IJUMAA[emoji854][emoji854][emoji854]
Hahaha asante hapo bado sijakwambia bro karuka toka umri wa babu yangu mpaka wa baba mzaa babu yangu,huyu bro banaHa ha stella.. Nilishasahau hili jina.
Asante kwa update numby,kunywa pepsi bardi nalipa!!
Aiseee....Mtaalamu huyo anasema ndizi ina madini ya potasiamu ambayo ni hatari kwa watu wenye matatizo hayo.
👍 👍Ndizi hupunguza uwezekano wa kupata pumu, hivyo ulaji wa ndizi mbivu moja kila siku kwa mtoto wadogo unaweza kupunguza hatari ya kupata ugonjwa huo.
👍👍Ingawa bado sishauri moja kwa moja mtu kuufanya mvinyo kama hatua ya kujikinga.
So I helped pick up my neighbor’s kid from school on my way from work yesterday cos he was running late, and I asked the lil homie “how was school”?boy said “why you gotta ask me that everytime you see me , You never went to school“ ? I just kept quiet [emoji24][emoji24][emoji88][emoji88]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha bro bhana,umri wote wa kwake sasaHahaha asante hapo bado sijakwambia bro karuka toka umri wa babu yangu mpaka wa baba mzaa babu yangu,huyu bro bana