Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Hahahaha bro banaHahaha bro bhana,umri wote wa kwake sasa
Dah Hili jina[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bradha hana bahati hizo labda mkokaa ila nae kaadimika hivyo bae wako kama hajakupa kibuti jua upo salama
Stella kabadili jezi ila matendo yale yale. Akibeba ubingwa tutakoma humu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ha ha stella.. Nilishasahau hili jina.
Asante kwa update numby,kunywa pepsi bardi nalipa!!
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Hahahahaha ninge bana,mzima huko?
Hapa wazima kabisa
King katekwa tena
Bradha nae kabanwa na jr
Coco kanasa kwa kadada kwa kirwanda opsss kgotha asione hapa
Carba yupo kwenye maandalilizi bab kubwa ya valentine
Poti keshandaaa maua roli zima
Ndoa ya mkeka ndani ya uzi huu bado inapumua
Baba urojo kahamia kwenye wali
πππππ hapo mwisho Ninge asioneHahaha
Kijana mpole anaibuka nakupotea kama nzige wa kilimanjaro
Jirani bado anatupa pole kila siku
Anko ndo adimu kama nyanya sokoni
Th uwiiii huyu anti sijui kapotezwa na nani
Bae wako ooohooo kama hujaibiwa sijui tu maana unapotea ghaflaa cheiiiii
π π π π π π πHa ha ha
Hapo kwa bae, ngoja kwanza maana simuelewi elewi unaweza kuta Bradhaa ameshanitilia ndimu tayali[emoji23][emoji23]
Ukimpata King na Th unakuwa umempata tayal
Binti wa Mungu ndio yule shabiki wa majongoo? [emoji23][emoji23] kabadiri jezi hata jogoo hajabeba ubingwa akibeba sasa[emoji2][emoji2]
Karibu tule ugali wa mtama na dagaa za kuchemshaMchana wa kula...