Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Natoa agizo kwa TAMISEMI kutafuta Tsh. Billion mbili kwa ajili ya kujenga nyumba za Watumishi wa Wilaya ya Kigamboni ili baada ya muda watoke kwenye nyumba za NSSF na kuhamia kwenye nyumba zao, na Mkandarasi ajenge nyumba hizo kwa miezi 6 na msiweke 10%”- JPM
 
Nitoe wito kwa Viongozi wa Kigamboni, ukubwa wa eneo hili ni Ekari 750, isije kutokea baada ya kurudishiwa mkaanza kugawana nyinyi, hapo ndio mtajua kama mpo Kigamboni, Kisarawe au Mkuranga, itunzeni hii ardhi sio ya Viongozi ni ya wakazi wa Kigamboni”- JPM
 
nyanya ndio munavyoita
Lol..
Nimekumbuka miaka hiyo ndio nimefika Dodoma for the first time, nimeenda sokoni namuuliza muuzaji anauzaje nyanya chungu kaniangalia kisha akanijibu hizo sina 😀😀 wakati me naziona ndio kumuonesha akanambia mwanangu hizo zinaitwa ngongwe 🤣🤣🤣 nilichoka

Arusha pia kigenge cha jirani alinishangaa niliposema nyanya chungu ila ameshanizoea maana me kuita ngongwe nimeshashindwa 😀😀😀
 
Lol..
Nimekumbuka miaka hiyo ndio nimefika Dodoma for the first time, nimeenda sokoni namuuliza muuzaji anauzaje nyanya chungu kaniangalia kisha akanijibu hizo sina 😀😀 wakati me naziona ndio kumuonesha akanambia mwanangu hizo zinaitwa ngongwe 🤣🤣🤣 nilichoka

Arusha pia kigenge cha jirani alinishangaa niliposema nyanya chungu ila ameshanizoea maana me kuita ngongwe nimeshashindwa 😀😀
Au jina jingine ni nyanya ntole
 
Hivi karibuni pamekuwa na mvua,baadhi yetu watanzania tumejenga kwenye maeneo yenye mikondo ya maji ,mikondo ya maji haizibwi, inapokuja kuwachukua inabaki kupiga kelele ni mafuriko, mafuriko mnajifurika wenyewe, hutaki kujenga kwenye mlima unakwenda kujenda kwenye bonde”.JPM
Wanajifurika wenyewe 🤣🤣🤣🙌
 
Back
Top Bottom