Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,204
Hivi hawa si wanaitwa balale enzi zangu kabla sijakuwa mhenga nilikuwa napenda sana kuwakamatahuko kwenu kilimanjaro wameshafika kwenye mashamba yenu....
tungule zimeadimika
samaki wameadimika
nzigeeeee ndio kitoweo kilichobakia
View attachment 1354498