Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

katika msitu wa amazon kuna mto umekatisha mto huo unaitwa mto amazon huu ndio mtu mkubwa zaidi duniani na unaingiza maji baharini mara 5 ya mito mingine maajabu ya mto huu kuna muda haueleweki kuna kipindi unapeleka maji kinyume badala ya maji kwenda mashariki yana kuwa yana toka mashariki kwenda magharibi.
 
Asilimia 20% ya oxygen iliyopo dunia inatengenezwa katika msitu wa amazon acha hili pia zaidi ya asilimia 70% ya madawa ya kisasa yana tengenezwa kwa kutumia miti inayo patikana ndani ya msitu wa amazon. Ndio maana unaitwa mapafu ya dunia.
 
American jaguar
Huyu anapatikana msitu wa amazon pekee Ni mnyama jamii ya paka huyu kafanana na duma ila yeye ni mweusi mwili mzima kama kiwianapendelea sana kujificha juu ya miti mirefu ana uwezo mkubwa kuogelea ni mnyama mwenye speed kali sana ukimtoa duma .
 
leo nataka niangalie mpira wa Tanzania kwa mara ya kwanza (ligi kuu)
hivi wachezaji wanakuwa wangapi uwanjani?

Wawili.
Kiungo mshambuliaji na kipa wake
 
Back
Top Bottom