Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

😂😂😂😂 nzige sembe hapana, niletee dagaa mchele na dona
huko kwenu kilimanjaro wameshafika kwenye mashamba yenu....
tungule zimeadimika
samaki wameadimika


nzigeeeee ndio kitoweo kilichobakia
1581423999397.png
 
😀 😀 😀 😀 😀

Wakiwa wanafurikwa uko wewe lima kunde,viazi, wakitoka kwenye mafuriko waje wale chakula chako kwa kuwatwanga fedha, kuna Wasukuma wameenda Lindi na Ng'ombe maji yamewachukua mabondeni, hakuna cha kusaidiwa uliyafuata mwenyewe mabonde ngoja yakubondoe ili ujifunze vizuri”- JPM
 
Back
Top Bottom