D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
jamaa hana kauli nzuriTulime kwenye mafuriko!!!!!
Na baraka teleMungu atupe amani.....
Lol..nyanya ndio munavyoita
4:2916:04
Au jina jingine ni nyanya ntoleLol..
Nimekumbuka miaka hiyo ndio nimefika Dodoma for the first time, nimeenda sokoni namuuliza muuzaji anauzaje nyanya chungu kaniangalia kisha akanijibu hizo sina 😀😀 wakati me naziona ndio kumuonesha akanambia mwanangu hizo zinaitwa ngongwe 🤣🤣🤣 nilichoka
Arusha pia kigenge cha jirani alinishangaa niliposema nyanya chungu ila ameshanizoea maana me kuita ngongwe nimeshashindwa 😀😀
Wanajifurika wenyewe 🤣🤣🤣🙌Hivi karibuni pamekuwa na mvua,baadhi yetu watanzania tumejenga kwenye maeneo yenye mikondo ya maji ,mikondo ya maji haizibwi, inapokuja kuwachukua inabaki kupiga kelele ni mafuriko, mafuriko mnajifurika wenyewe, hutaki kujenga kwenye mlima unakwenda kujenda kwenye bonde”.JPM
Khaaa!! 🤣🤣🤣🤣Si ulinambia best kwamba jamaa ana shabaha😀😀😀
Asantee, pole na wewe.Mimi sijambo depal, habari za kwako? Pole na majukumu..
Maandalizi yanaenda kama yalivyopangwa,baadae tuonane geti la juu
18:074:29