Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Prof. Kezilahabi mlimzika Namagondo au Dar?

Mvuvi huyu si ajabu ana iPhone mpya hii yenye kamera nne utafikiri Schwarzenegger kwenye Commando....
View attachment 1354051
Huyu Mvuvi hana jeuri ya kumiliki iPhone 11 Pro Max bana. Halafu Apple walivyokuwa wahuni safari hii, hii Pro Max; baada ya 64GB wakarukia kwenye 256GB. Hapo wameruka 125GB, sasa mvuvi hata kama anaitaka, 64GB haimtoshi; na 256GB hapo bila $1300+ hujainyakua dukani. Acha tu agaragazane na kaflip kake poti! πŸ˜€πŸ˜€
 
Aisee..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…