google helper
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 9,667
- 13,876
hivi ndugu yangu umeoa au umeolewa?tulia wewe sisi ndo wataalam
unataka kujua location yangu mimi na mke wangu una akili wewe?location wapi?
valentine day
😀😀😀😀unataka kujua location yangu mimi na mke wangu una akili wewe?
nimeoa na mahari nimelipa yote, mke anapata mahitaji yote na haki zake zote anazostahilihivi ndugu yangu umeoa au umeolewa?
gwenchana gwenchana......kumbe kesho ni ijumaa? bado sipati picha Daemusin atakavyokua anazurura na kanzu yake nyekundu na bakuli lake jekundu la urojo, mkiambiwa muoe hamtaki ona sasa utashinda ukibusu bakuli la urojo
Leo umepata nafasi ya kuongea, tokea juzi umefungiwa ndani kama mbuzi atayechinjwa sikukuu ya IDDI.nimeoa na mahari nimelipa yote, mke anapata mahitaji yote na haki zake zote anazostahili
Kumbe hujiamini mpaka leo mjinga wewe,unataka kujua location yangu mimi na mke wangu una akili wewe?
ukiwa mkubwa utaelewaLeo umepata nafasi ya kuongea, tokea juzi umefungiwa ndani kama mbuzi atayechinjwa sikukuu ya IDDI.
nina wasiwasi huenda umeoa mwanamke mgumu kama alivyokuwa marehemu ARAP MOI
nauliza tena location itakuwa ni wapi?ukiwa mkubwa utaelewa
mke wangu anajua location yangu wewe unataka ya nini?Kumbe hujiamini mpaka leo mjinga wewe,
ina maana hata sokoni unapokwenda kununua nyanya huambatani na mke wako....
woga umekujaaa nafsini mwako kama madikteta wa kiafrika
nauliza tena location itakuwa ni wapi?
au nimwite ZURRI
yule ustadhi uchwara?nimefikiria sana ila naona tukienda visiwa vya Penang, Malaysia au ufilipino nadhani uta enjoy sana mama kijacho wangu
kama itatokezea jambo baya kikosi cha uokozi kijuwe kinajiandaaje kufanya uokozimke wangu anajua location yangu wewe unataka ya nini?
#ndoaRahaSana