D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
maustadhi ndio wakorofi kwa taarifa yako...yule ustadhi uchwara?
wamejaa nguvu za kiume kama mbuzi meee
maustadhi ndio wakorofi kwa taarifa yako...yule ustadhi uchwara?
bado tunajadiliana na mke wangu, maana kutokana na hali yake anachagua sana vitu, hata sehemu za kwenda, mda si mrefu tutaweka taarifa rasmi ya location yetu kwa siku ya kesho naamini utapata story ya kuweka kwenye gazeti lako la UROJO POSTkama itatokezea jambo baya kikosi cha uokozi kijuwe kinajiandaaje kufanya uokozi
breaking news:bado tunajadiliana na mke wangu, maana kutokana na hali yake anachagua sana vitu, hata sehemu za kwenda, mda si mrefu tutaweka taarifa rasmi ya location yetu kwa siku ya kesho naamini utapata story ya kuweka kwenye gazeti lako la UROJO POST
Sipati picha siku unagombana na mkeo vichambo vyake si vya kawaida 😀😀😀breaking news:
mfilisti atolewa nje kwa mara ya kwanza tokea afunge ndoa
- mabaharia wahoji mwenendo wa ndugu yao
- majirani wasema walimuona mwanamme huyo akiosha vyombo
- mwengine adai bwana huyo ndiye mpishi
- mpiga chabo anayejulikana kwa jina la MOUD adai bwana huyo analazwa chini ya kitanda
je mimba ni ya kwake au ya shekhe kipozeo wa JF?
usikose nakala yako ya urojo the mafuriko de la chatoo
hahahahaaaaaaaaSipati picha siku unagombana na mkeo vichambo vyake si vya kawaida 😀😀😀
breaking news:
mfilisti atolewa nje kwa mara ya kwanza tokea afunge ndoa
- mabaharia wahoji mwenendo wa ndugu yao
- majirani wasema walimuona mwanamme huyo akiosha vyombo
- mwengine adai bwana huyo ndiye mpishi
- mpiga chabo anayejulikana kwa jina la MOUD adai bwana huyo analazwa chini ya kitanda
je mimba ni ya kwake au ya shekhe kipozeo wa JF?
usikose nakala yako ya urojo the mafuriko de la chatoo
😂😂😂😂 hili ni jangaSipati picha siku unagombana na mkeo vichambo vyake si vya kawaida 😀😀😀
usichokifahamu nina undugu na waziri mwakyembe na gazeti langu halijawahi kukosekana Ikulu...wizara naomba ifungie hili gazeti mara moja, waandishi wake hawana weledi kabisa na limekua likitoa habari za kichochezi
#this is TRASH 🚮🚮
Huyu mpendwa ni muongeaji nje ya Jf atake asitake tena anajua kuongea hasaaa😀😀😂😂😂😂 hili ni janga
Ni mzima wa afya. Leo napika maharage sio lazim Nyanyahahahahaaaaaaaa
natumai ni mzima wa afya huko ulikooo.....
umeshanunua nyanya za kupikia mchuzi wa ngisi?
teh teh tehHuyu mpendwa ni muongeaji nje ya Jf atake asitake tena anajua kuongea hasaaa😀😀
yes,afya ndio jambo muhimu zaidi (tumshukuru mungu kwa hilo kwa kutupa neema zake bila ya kulipa kodi)Ni mzima wa afya. Leo napika maharage sio lazim Nyanya
Maandishi ya mtu naweza kutambua sifa zake nawe uko hivyo 😀😀😀teh teh teh
ni kwa sababu hatufahamiani
Maharage ya nazi naweka mojayes,afya ndio jambo muhimu zaidi (tumshukuru mungu kwa hilo kwa kutupa neema zake bila ya kulipa kodi)
unapika maharage ya kimasikini (nazi kipande kimoja ) au ya kitajiri (nazi mbili)..
ohooo kumbe wengine maharage wanaweka mafuta ya kula
mtu wa pwani katika ubora wako....Maharage ya nazi naweka moja
Hii chai 😀😀😀mtu wa pwani katika ubora wako....
nasikia watu wa mwanza wakipika maharage wanachanganya na samaki satooo
nikimzowea mtu huwa sina mipaka kwenye mazungumzo ya utaniMaandishi ya mtu naweza kutambua sifa zake nawe uko hivyo 😀😀😀
ngoja waje wenyewe kutoka usukumani..Hii chai 😀😀😀
Mdogo wangu ngoja ukue mhenga utakuwa na mipakanikimzowea mtu huwa sina mipaka kwenye mazungumzo ya utani