Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

kumbe kesho ni ijumaa? bado sipati picha Daemusin atakavyokua anazurura na kanzu yake nyekundu na bakuli lake jekundu la urojo, mkiambiwa muoe hamtaki ona sasa utashinda ukibusu bakuli la urojo
gwenchana gwenchana......

mwaka ujao Inshaallah nitatafuta mwenza wangu atakayenifanya niwe comfortable pindi inapofika valentine day.
hongera kwa kupata mwenza kabla yangu.
​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…