Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Inna lillah wainna ilaihyi rajiun.
Mwenyezi Mungu mlaze mahali pema, mbunge wangu wa zamani.
 
copy and paste from January Damian.

MAUAJI YA KUTISHA...

Baada ya Dkt. Ouko kuanza kuhisi harufu ya kifo ikimnyemelea, alijaribu kuzungumza na 'adui yake' Hezekiah Oyugi ili amuombee msamaha kwa Mzee Moi. Oyugi alimjibu kwa kifupi, “Kama umegongana na Mzee Nyayo shauri yako”. Dkt Ouko akavunjika moyo kabisa, akaona kilichobaki ni kumrudia Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…