Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

2.2428073753440448E18.jpeg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nadhani wewe ndiyo bi Hindu mwenyewe[emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089]
hatafuti likes bali undugu uliojengeka humu ndio chanzo cha huyo jogoo wa anfield kuendelea kubaki humu.
  1. ana mdogo wake anaitwa myoyambendi , ikifika saa 8 wanapeana code za kwenda kula
  2. ana mdogo wake anaitwa Numbisa , akipika maharage anachanganya samaki satooo
  3. ana mdogo wake anaitwa Daemusin , linajifanya janadume kumbe ni keee(siri imefichuka)
  4. ana kaka yake anaitwa SHIMBA YA BUYENZE , ana uwezo wa kukaa mwezi mzima bila ya kuingia humu ndani lakini akirudi stori zote anazo...... thisi maniii issss serverrrr
  5. ana mdogo wake anaitwa Davet , huyo bwege ni mtoto wa geti kali (mbwa mzito amewekewa mlangoni)
  6. ana mdogo wake kutoka mbeya.... ebwana weee ana kichambo kuliko bi hindu wa simbaaa
 
Wanawake wangekuwa wachache kuliko wanaume Dunia ingeshuhudia vifo vingi vya mapenzi kuliko ilivyo sasa
Yaani hata wanaume wote wakioa wanawake wawili wawili bado kuna watu watakosa waume...

Ila afadhali imekuwa hivi. Ingekuwa kinyume chake aisee pasingekalika. Ingekuwa watu wanauana daile wakigombea mademu [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom