Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Serikali ya kikomunist
Roho ya huruma imenikamata.Serikali ya kikomunist
Natamani nifike mbeya siku moja..
Hahaha haas lol*Kuelekea siku ya Wapendanao, iwapo mpenzi wako atataka vitu vitamu* *(chocolate, cakes sijui maua) siku hiyo, mwambie hata Biblia inakataza akasome:*
*Hesabu 9:11b*, "Jioni ya siku ya kumi na nne ya mwezi wa pili. Ataiadhimisha kwa kula mikate isiyotiwa chachu na mboga chungu".
ASANTE
Incubation period ni siku 20. Wasubiri huko huko. Zikipita wakiwa wazima ndiyo waje...Roho ya huruma imenikamata.
Wangewapima,Kama hawajapata hivyo virusi wafanye kuwarudisha
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]. Mungu ni mwema Aliweza kupona...
Kama wewe ni mwanaume naomba uache mkuu. Ila kama ni demu endelea tu kwa raha zako [emoji16][emoji16]Shimba ya buyenze hili jina limenikaa sana
*Naomba Tuelewane Kidogo*
*VALENTINE Ni Kwa Ajiri Ya Mashabiki Wa SIMBA Nyie YANGA Subirini KAMPENI Za CCM Zianze..!*
[emoji23][emoji38][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app