We ni ke au meKama wewe ni mwanaume naomba uache mkuu. Ila kama ni demu endelea tu kwa raha zako [emoji16][emoji16]
We ni ke au meKama wewe ni mwanaume naomba uache mkuu. Ila kama ni demu endelea tu kwa raha zako [emoji16][emoji16]
Ndiyo maana nimesema wakichunguzwa kwanza afya zao.Incubation period ni siku 20. Wasubiri huko huko. Zikipita wakiwa wazima ndiyo waje...
Haya mambo hayahitaji mihemko wala huruma. Ni lazima kuzingatia sayansi inavyosema. Wakija nao tena huku yatakuwa yale yale malalamiko mtindo mmoja na kulaumu
Najua hili ni fyekero lakini naomba tuheshimiane mkuu. Kama unataka ugomvi na kutukanana nenda jukwaa la siasa. Huku huwa hatugombani. Na heshima ni kitu cha bure....We ni ke au me
Nimetafuta Wanyaki humu kuanzia asubuhi sijapata hata mmoja we ndo unatokelezea muda huu? [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1356580
SHIMBA YA BUYENZE.Shimba ya buyenze hili jina limenikaa sana
Achana na hilo fyekero. Kuna kitu anakitafuta...
Najua hili ni fyekero lakini naomba tuheshimiane mkuu. Kama unataka ugomvi na kutukanana nenda jukwaa la siasa. Huku huwa hatugombani. Na heshima ni kitu cha bure....
Kwa Mara ya tatu nakuona ukiwa hivi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]Achana na hilo fyekero. Kuna kitu anakitafuta...