Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
1935.RIP Mh. Idd Simba...
View attachment 1356696
Alipata neema ya kula chumvi nyingi
Sent using Jamii Forums mobile app
1935.RIP Mh. Idd Simba...
View attachment 1356696
Nikiweje?Kwa Mara ya tatu nakuona ukiwa hivi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama wewe ni mwanaume naomba uache mkuu. Ila kama ni demu endelea tu kwa raha zako [emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nikiweje?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ignore list loading....
Mwenye historia ya valentine akaiweke kwenye jukwaa la historia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Najua hili ni fyekero lakini naomba tuheshimiane mkuu. Kama unataka ugomvi na kutukanana nenda jukwaa la siasa. Huku huwa hatugombani. Na heshima ni kitu cha bure....
Wanamwandama sana. Naona hawataki awe rais ajaye japo inasemekana ndiyo yalikuwa makubaliano yake na Uhuru. Yatampata yale yale yaliyompata Lowasa kwa J.KHahahahahahahahahaha, kaaazi kweli kweli.
Ruto atakula ng'ombe wote hao
Nshalijua. Ngoja nijiridhishe kwanza....Fyekero gani hilo kamanda, naona nimepiga kambi hapa[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wewe ni Mnyaki? Jizazi [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]nimepamiss