Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
hatafuti likes bali undugu uliojengeka humu ndio chanzo cha huyo jogoo wa anfield kuendelea kubaki humu.
- ana mdogo wake anaitwa myoyambendi , ikifika saa 8 wanapeana code za kwenda kula
- ana mdogo wake anaitwa Numbisa , akipika maharage anachanganya samaki satooo
- ana mdogo wake anaitwa Daemusin , linajifanya janadume kumbe ni keee(siri imefichuka)
- ana kaka yake anaitwa SHIMBA YA BUYENZE , ana uwezo wa kukaa mwezi mzima bila ya kuingia humu ndani lakini akirudi stori zote anazo...... thisi maniii issss serverrrr
- ana mdogo wake anaitwa Davet , huyo bwege ni mtoto wa geti kali (mbwa mzito amewekewa mlangoni)
- ana mdogo wake kutoka mbeya.... ebwana weee ana kichambo kuliko bi hindu wa simbaaa
Sijawahi tongoza mtandaoni bro.... Ila Hawachi anakushikia bango bure tu wewe ni msela kabisa
Duh!!No comment [emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
View attachment 1356449
inawezekana ukiangalia muandiko wake... kila siku comment zake ndio zile zile...
itakuwa anatembea na daftari ili apunguze kusahau
Hapa ni 2017 na hii ni 2020
Moud umetisha...View attachment 1356334
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani hata wanaume wote wakioa wanawake wawili wawili bado kuna watu watakosa waume...
Ila afadhali imekuwa hivi. Ingekuwa kinyume chake aisee pasingekalika. Ingekuwa watu wanauana daile wakigombea mademu [emoji16][emoji16][emoji16]
Huyu shemeji yangu eti amekataa yeye hawezi kuinama. Huyo wa kwako vipi? [emoji16][emoji16]
Libaharia fulani hapa lishamlainisha binti wa watu....
View attachment 1356349