Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,068
- 127,679
Kwani wewe huwa huniquote?Bila ya kuquote comment yangu siku yako haijaenda vizuri?
Hebu weka niione [emoji16][emoji16]
Safii...pesa hiyo
Ni kweli...bora kinga kuliko tibaIncubation period ni siku 20. Wasubiri huko huko. Zikipita wakiwa wazima ndiyo waje...
Haya mambo hayahitaji mihemko wala huruma. Ni lazima kuzingatia sayansi inavyosema. Wakija nao tena huku yatakuwa yale yale malalamiko mtindo mmoja na kulaumu
👍
Wapi hiyoo
Hapana..siishi airport.Kule ambako kunaitwa uwanja wa ndege, sijui nimepatia hilo jina
Kwa miaka 85 uwezo wa kuwasasambua konokono unakuwa bado upo?Miaka 85 si haba.
Mwenyezi Mungu ampe makazi mema.
Asante nitakuja siku kutembea huko
Sijawahi!
Kule mlimani Kwenye nyumba nyinginyingi ndio isangaTupia pics za isanga
Ndiyo soko jipya na hospitali ya maranathaHapo ni kwetu, naliona soko jipya hapo
Huku mbeya mjini ya Zamani..Pazuri, pamefunikwa na uoto wa asili