moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Aiseeusichokifahamu nina undugu na waziri mwakyembe na gazeti langu halijawahi kukosekana Ikulu...
Bwana mkubwa kutoka chatow anapenda udaku kuliko mtanashati
[emoji16][emoji16][emoji16] hayaAnko unanitega, ukimaliza mashamba ya mpunga tupia jicho kulia [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nzuri mpendwa za kwako
Sijambo mpendwaJirani hujambo...