Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sasa hapo si anakuwa amefika mmoja The Don, yaani mwenzio anakuwa amefika anaanza upya wakati we hata hujaanza safari

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa sisi wanaume kufika siyo tatizo kivile so wasiwasi wetu huwa ni nyie. Ukifika wewe mimi hata itokee nisifike (jambo ambalo ni gumu sana) ni sawa tu...
 
Ila kwa jamaa wa kenya reaction yake hakufika kabisa. Body language huwa inaonyesha mengi ukiwa mtaalamu unaelewa vizuri tu kama ulipatia au ulikosea
 

Comments za wadau kwenye huu uzi zinasikitisha sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Saiv ni kizazi cha kila mtu abebe mzigo wake. Jambo likitokea ni maumivu kwa familia husika tu wengine wanaona hayawahusu. Ni binti anna pekee aliyefanikisha kuwahusisha wengi.
 
Ila kwa jamaa wa kenya reaction yake hakufika kabisa. Body language huwa inaonyesha mengi ukiwa mtaalamu unaelewa vizuri tu kama ulipatia au ulikosea
Huyo nadhani ni majuto. Kama alivyosema mganga mkuu wetu hapa JF pengine ilikuwa ni ishu za matambiko au shurti fulani. Mwishoni pale jamaa anasikitisha sana ...
 
Huyo nadhani ni majuto. Kama alivyosema mganga mkuu wetu hapa JF pengine ilikuwa ni ishu za matambiko au shurti fulani. Mwishoni pale jamaa anasikitisha sana ...
View attachment 1360883
Na shati lake lile lile

Bro hili tukio hakuna uchawi hata kidogo bali ni nguvu ya nyege ile kitu hatari inapelekesha ila ikiisha majuto yake ni makubwa

Jamaa kajuta kwa mengi hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…