Ankoo...
Tujaribu kuzijali hisia za mtu,wengine ni tiba zetu kwa kuziangalia picha za wanyama, milima, maji (
moudgulf). Maneno ya faraja kama:- usiku wa uji, poleni wasafiri, usiku wa pipi (
myoyambendi).Mambo ya habari mchanganyiko hasa burudani na mitindo ya kunyoa kiduku,kipara mzunguko sehemu za siri,matumizi ya konokono, mlonge (
binti mpole).Mambo ya picha za wasichana wazuri na warembo wenye staha (
Mpendwa na
Beef Lasagna).Tukiitwa na tusipo itika kutwangwa shwaini wote (
Khantwe).Sasa hizi starehe za madude dude ya haja yenye kuleta tiba ya ubongo ulio changanyikana kwa vurugu za mabinti wembamba (
kivuruge) naomba mtuachie...
mfilisti,
ho chi minh,
SHIMBA YA BUYENZE au hata mimi niwemo tu, mtuachie tuinjoike...
View attachment 1364590
Sent using
Jamii Forums mobile app