Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahah! Tumetoka mbali sana bro, sasa hapo utakuta mshindi anatangazwa kwa mbwembwe zote
Kwa mbwembwe zote? Siku hiyo ni sherehe ya kitaifa hakuna kwenda job...

Zidumu fikra sahihi za Mwenyekiti wa Chama
Nyerere Oyeeeee !!!

Sokoinne alikuja akaanza kuwa mashuhuri na kupendwa zaidi mpaka akaanza kuonekana tishio...kilichompata anakifahamu mwenyewe !!!
 
Madaraka matamu sana, mtu unatembea na msafara mzito, walinzi 24'7, kila kona habari ni wewe tu, mpini umeshika wewe alafu atokee mtu kuonyesha tishio la kukuondoa ulipo. Kama una Moyo mgumu lazima umfunze adabu
 
Hahah! Tumetoka mbali sana bro, sasa hapo utakuta mshindi anatangazwa kwa mbwembwe zote
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Ankoo... Wewe haumo kwa watu walio toka mbali.
Wewe utakuja kusimulia mengi yamhusuyo "Vasco da Gama" na "mkoromije" miaka ishirini ijayo... Kwa sasa tuacheeee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sipati picha atakavyokuwa anasimulia wajukuu zake kuhusu ishu za Chattle na hifadhi ya Burigi [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…