moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Hapo hata Kigalatia utakiongea tu [emoji16][emoji16][emoji16]
Hahah![emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Ankoo... Wewe haumo kwa watu walio toka mbali.
Wewe utakuja kusimulia mengi yamhusuyo "Vasco da Gama" na "mkoromije" miaka ishirini ijayo... Kwa sasa tuacheeee
Sent using Jamii Forums mobile app
😁😁😁😁😁Umetoka mbali ya wapi bro?
Mbali ya 2002? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo hata Kigalatia utakiongea tu [emoji16][emoji16][emoji16]
Ila hapo baharia naona kama kaanza kumlegeza bibie....
Mbegu za Monsanto hizi shida tupu
😂ha 😂ha 😂ha 😂ha 😂h!!!!Ka-Davet katakuwa kababu kaongeza chumvi kila stori... Hiyo ya Burigi atasema alishiriki kuwakaba shingo twiga ili warudi Arusha ila afande alimpiga risasi ikamkuta kwenye kucha, akaachia kabari....
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Halafu katasema eti kalikuwa kanaharakati hatari enzi zake na kalipambana dhidi ya nduli kufa na kupona. Kumbe kamba tu [emoji16][emoji16][emoji16]
Ila kwenye stori za mademu ndo sipati picha. Wajukuu mpaka watachanganyikiwa utafikiri wanasoma uzi wa kula tunda kimasikhara [emoji16][emoji16][emoji16]