Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Haukumshitukia alivyo jishirikisha? Yaani hapo kajiingiza hata kwenye mafoleni ya barabarani kumsubiria mtukufu rais apite kijijini kwao [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahah! Nyie Wahenga wa vitabu vya historia nyie

 
Ila wale wazee wawili pamoja na "likimurimuri" lao walikuwa na dhambi sana [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Nashangaa vijana ambao hawakuyapitia magumu yao wanavyo sifia kwa kukwotua maneno yao ezi ifu nafsi zao zilimaanisha hayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwaka 1968..aisee
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…