myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Wapo..mpaka sasa wapo. Hovyo kabisa..
Mzee wa TMK umeona hiyo Assist niliyokupa?
Jamani[emoji24]
Nilikuwa wapi Mimi jamani?
Ni mzuri mzuri Kama huyo mtoto???
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni sawa na mtu kaachwa halafu anatafuta relationship ya fasta ili akukomoe kumbe wewe huna time nae. Inaonyesha jamaa hajamove on
Sent using Jamii Forums mobile app
Utamuutamu kama wote[emoji23][emoji23]Weekend na utamutamu....
Sasa leo wewe na Messi ni siku yenu nzuri sana labda mwenyewe tu ushindwe kutia kambaniNimeona hiyo bro[emoji23][emoji23]
Duh! Hapa kwetu ilishafutwa hiyo dawa
Sasa leo wewe na Messi ni siku yenu nzuri sana labda mwenyewe tu ushindwe kutia kambani
😂😂😂[emoji23][emoji23]
Wapo..mpaka sasa wapo. Hovyo kabisa..
Stella kwenye ubora wake