moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Hongera sana Mzee wa pwani.Ukute bado kama minne tu uanze kuutingisha mtiFebruary 25.
Leo ni siku yangu ya kuzaliwa.
Siku kama ya leo miaka kadhaa iliyopita nimeletwa Duniani.
Sasa ni rasmi nauendea UHENGA
Kheri ya siku yako ya mfanano na ile uliyozaliwa bro, Mungu akujaalie katika mambo yakoFebruary 25.
Leo ni siku yangu ya kuzaliwa.
Siku kama ya leo miaka kadhaa iliyopita nimeletwa Duniani.
Sasa ni rasmi nauendea UHENGA
Kuutingisha mti ndio nini Anko?Hongera sana Mzee wa pwani.Ukute bado kama minne tu uanze kuutingisha mti
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera sana Mzee wa pwani.Ukute bado kama minne tu uanze kuutingisha mti
Sent using Jamii Forums mobile app
Kheri ya siku yako ya mfanano na ile uliyozaliwa bro, Mungu akujaalie katika mambo yako
[emoji724]Drink responsible
Achana na huo "mti" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Asante sana.
Unamaanisha mti gani mzee wa Mwakaleli?
Kama unamaanisha mti kwa maana ya mti ulishainuka miaka mingi iliyopita[emoji23]
Ni afya kudhoofika automatikale baada ya kuvuka 50.... Wewe Anko bado saaana ila jiandae kiuchumi,ili huko mbeleni hela yako ije ikutibu na kukuliwazaKuutingisha mti ndio nini Anko?
Sawa Anko nimekuelewa sanaNi afya kudhoofika automatikale baada ya kuvuka 50.... Wewe Anko bado saaana ila jiandae kiuchumi,ili huko mbeleni hela yako ije ikutibu na kukuliwaza
Sent using Jamii Forums mobile app
HatariiiNyoka mwenye sumu kali anapotafuta upenyo kuingia nyumbani mwakoView attachment 1368717