Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Hii pochi hapana kwa kweli [emoji23][emoji23]
Happy birthday Mpendwa,baraka ziwe juu yako 😍😍February 25.
Leo ni siku yangu ya kuzaliwa.
Siku kama ya leo miaka kadhaa iliyopita nimeletwa Duniani.
Sasa ni rasmi nauendea UHENGA
Ya embe au mbilimbiMwenye kujua namna ya kutengeneza chachandu
Hapana jibu sina binti mpole ata anko naona kanijibu kisanii tu, embu nielimishe na mimi basiHehehehehe aiseeee wakati jibu unalo
Mambo yako vipi mpendwa Hawachi?
Safi Davet u hali gani mpendwa?Mambo yako vipi mpendwa Hawachi?
Nashukuru nipo poa sana mpendwa, Jua kali tu mpaka kutoka nje nashindwaSafi Davet u hali gani mpendwa?