Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Wakishua kwenye ubora wako mimi nakomaa kuuza nguo na jua languNashukuru nipo poa sana mpendwa, Jua kali tu mpaka kutoka nje nashindwa
Wakulima wote poleni
Mliotoka kazini poleni sana
Wasafiri wote mfike salama...