moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Usiku unataradad pande zetu
Jioni imeshika kasi..
Jioni imeshika kasi..
Happy birthday Mpendwa,baraka ziwe juu yako [emoji7][emoji7]
February 25.
Leo ni siku yangu ya kuzaliwa.
Siku kama ya leo miaka kadhaa iliyopita nimeletwa Duniani.
Sasa ni rasmi nauendea UHENGA
Hahah! Yamekua hayo tena mpendwa?Wakishua kwenye ubora wako mimi nakomaa kuuza nguo na jua langu
Hapana jibu sina binti mpole ata anko naona kanijibu kisanii tu, embu nielimishe na mimi basi
Hii panya inaimba jazz vizuri sana
Mrembo CarbaHappy bday kaka ake.
😁😁
This Nicca got real TalentView attachment 1369019