ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Mpendwa Davet wa kishua na jua hawawezani
Hahah! Tayari nilishalifata bro fatilia post iliyofuata 😃😃
Happy bday kaka ake.
Mambo ni full, vipi habari yako?Mambo ni aje
Hahah! Yamekua hayo tena mpendwa?
Nilikua nakutania tu bhana ata mimi natoka sana huku Uswahilini kwetu
Hahah! Huu ni uchokozi tu mpendwa ila karibu BuzaMkono mzuri kama ule haiwezekani makazi yawe ya Uswahilini kwetu
Asante kumbe tu majirani mimi nipo buza kwa RulengeHahah! Huu ni uchokozi tu mpendwa ila karibu Buza