ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Inabidi tuisherehekee hii siku brother.
Fanya mpango Basi angalau tunywe soda pamoja[emoji3526]
Ujue Jana liva tumeshinda
Sent using Jamii Forums mobile app
Juzi nilipita mitaa yetu huku uswahilini kuna njia ina maji machafu alafu kuna wamama wananawisha kwa 200, basi na mimi nilikanyaga nikanawishwa na picha ya ushahidi ninayo. Karibu uswazi mpendwaMpendwa Davet wa kishua na jua hawawezani
Mpendwa Davet wa kishua na jua hawawezani
Hahah! Tayari nilishalifata bro fatilia post iliyofuata [emoji2][emoji2]
Mpendwa matumizi mabaya ya pesa kwani hayo maji yalikuwa yananukaJuzi nilipita mitaa yetu huku uswahilini kuna njia ina maji machafu alafu kuna wamama wananawisha kwa 200, basi na mimi nilikanyaga nikanawishwa na picha ya ushahidi ninayo. Karibu uswazi mpendwa
Naona mambo si mabaya
Tutembeleane bhana me ngoja nitakutajia jina la kituo changu baadae mana bado ni mgeni huku nimehamia juzi kutoka huko SpenkoAsante kumbe tu majirani mimi nipo buza kwa Rulenge
Duh maskini. Enzi hizo za ligi ya zari kuna binti mmoja aliposikia mama yake zari anaumwa kwake ikawa shangwe na kejeli kede kede ,na habari za msiba zikawa burudani kwake. Zikapita wiki mbili akaja na uzi wa kuomba msaada mama yake anaumwa nikamkumbusha comments zake kwa msiba wa mama ake zari aisee lilimshuka lakini alilalamika mno(kwa style ya mama yake ni muhimu kuliko yule aliyekua anamkejeli). Wanaokejeli wengi hayajawapata yakiwapata wanaumia sana na kuona wameonewa zaidi ya wenzaoKuna member anaitwa maiti ukienda kusoma nyuzi zake na comments alizojibiwa utabaki unasikitika.
Watu wanaichukulia poa depression ila hii kitu inaua.
Huku mbagala mkifika mnishtueeeTutembeleane bhana me ngoja nitakutajia jina la kituo changu baadae mana bado ni mgeni huku nimehamia juzi kutoka huko Spenko
Ila kuna vibaya huko uwe makini mpendwaTutembeleane bhana me ngoja nitakutajia jina la kituo changu baadae mana bado ni mgeni huku nimehamia juzi kutoka huko Spenko
Sasa hivi nipo Mbagala Zankem we upo pande zipi 😀😀😀Huku mbagala mkifika mnishtueee
Hayanuki ila yametuama muda kwahiyo yatakua ni machafu tuMpendwa matumizi mabaya ya pesa kwani hayo maji yalikuwa yananuka
Sasa hio video joka linajitikisa ila watu wengi hata hawakimbiiHiyo video sijaiona, ingawa najua ni picha za kihindi huwa na uongo uongo huo
Mie mgeni maeneo haya ulizia kwa akina amber rutty utanipata[emoji23]Sasa hivi nipo Mbagala Zankem we upo pande zipi 😀😀😀