Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Duh maskini. Enzi hizo za ligi ya zari kuna binti mmoja aliposikia mama yake zari anaumwa kwake ikawa shangwe na kejeli kede kede ,na habari za msiba zikawa burudani kwake. Zikapita wiki mbili akaja na uzi wa kuomba msaada mama yake anaumwa nikamkumbusha comments zake kwa msiba wa mama ake zari aisee lilimshuka lakini alilalamika mno(kwa style ya mama yake ni muhimu kuliko yule aliyekua anamkejeli). Wanaokejeli wengi hayajawapata yakiwapata wanaumia sana na kuona wameonewa zaidi ya wenzao
Ule uzi umeniuma sana mno,mimi hata niwe na shida vipi sitokuja kuomba ushauri jf au kwenye mitandao nife tu na siri yangu yaani unaweza kujikuta unajichukia na kujuta why umeaomba ushauri au kuandika uzi. Kuna members humu kazi kukatisha wazao tamaa
 
Lugha ya kiswahili kama hivi!!!
Fenesi haliliwi bila mafuta, lazima upake mikono mafuta Ili lilile vizuri. Wabishi wanakula bila kupaka mikono mafuta Na wanadai utamu WA fenesi Ni Utomvu. Tunda hili halioshwi Na Utamu wake ni pale unapolamba mikono….

Bungo kiutaalamu lazima ulitie kidole ndio uliweke mdomoni. Likiwa mdomoni raha yake limumunywe taratibu mpaka utamu uishe. Wajuvi huwa hawali bila chumvi, huwa linatiwa chumvi kasha linatiwa kidole wanalikoroga na kidole mwisho wanalimumunya. Utamu wake unakilea pale unapolamba kidole…

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeumia jamani, naomba tu Mungu anisamehe kama nilikomenti mzaha wowote kwenye post zake aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sikucomment mzaha ila naumia maana alishawahi nipm maskini mimi[emoji24][emoji24][emoji24]
Niliona tu jina miguu ya kuku,sikufungua..
Baada ya mwezi nikaja kuifungua na kujibu.
Hakureply Tena na Mimi sikukaa hata kufwatilia ,laiti ningetenga muda na kufwatilia,ningekumbuka Kama ndiyo yeye mpauko.

Aisee, hivi mimi hakuwahi kunipm kweli? Ngoja nifuatilie daah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ule uzi umeniuma sana mno,mimi hata niwe na shida vipi sitokuja kuomba ushauri jf au kwenye mitandao nife tu na siri yangu yaani unaweza kujikuta unajichukia na kujuta why umeaomba ushauri au kuandika uzi. Kuna members humu kazi kukatisha wazao tamaa
Kweli kabisa. Ndo maana huwa sipendi kufunguka sana humu. Nikiwa na wakati mgumu napotea kwa muda au nakuwepo kuperuzi tu nikiwa sawa naanza kuchati. Haya mambo ya kufunguka sio kabisa japo kuna baadhi wanafanikiwa kupata msaada
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndiyo,ikiwezekana nifanye mpango wa keki kabisa,bday ya moud haiwezi pita kirahisi hivyo bila kusherehekea..tutakuwa hatujaitendea haki

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hivi
83738080_225417705279152_170137260858393049_n.jpg
moudgulf kwa ajili yako
 
Inna lillah wainna ilaihyi rajiun,
Sikujua kama amefariki.
Kwenye orodha ya wale Majenerali waliompindua mfalme wa mwisho wa misri Fuad ii, 1953, huyu bwana amepata kifo cha mateso kilichoenda sambamba na adhabu za wanadamu hasa kutokana na vile alivyowafanyia watu wake alipokuwa madarakani
Kafariki Leo mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom