Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji125][emoji125][emoji125]Hahah! Wewe binti wewe 😁
Dawa yako kukukumbusha matokeo ya Madrid tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji125][emoji125][emoji125]Hahah! Wewe binti wewe 😁
Dawa yako kukukumbusha matokeo ya Madrid tu
Salama kabisa.Mambo ni full, vipi habari yako?
Upanga umehama lini eti?Hahah! Huu ni uchokozi tu mpendwa ila karibu Buza
Aiseeh!!Juzi nilipita mitaa yetu huku uswahilini kuna njia ina maji machafu alafu kuna wamama wananawisha kwa 200, basi na mimi nilikanyaga nikanawishwa na picha ya ushahidi ninayo. Karibu uswazi mpendwa
Una shida sana we binti [emoji23][emoji23][emoji23] wakati nakuja kwenye huu uzi mimi na wewe tulikuwa hatujazoeana kweli? Watu kama kinga Kgothalo TH, carbamazepine na wengine wachache ndio labda nimewafahamu hukuhuku wengine wote tulikuwa tunapigana vikumbo huko barabaraniWewe maana mwanzoni wakati unakuja kwenye huu uzi ulimzoea kwanza bro don na meme zake kisha ukafata kutuzoea sie. Ulikua hutaki likes zetu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimekopa akili za daemusin kidogoUna shida sana we binti [emoji23][emoji23][emoji23] wakati nakuja kwenye huu uzi mimi na wewe tulikuwa hatujazoeana kweli? Watu kama kinga Kgothalo TH, carbamazepine na wengine wachache ndio labda nimewafahamu hukuhuku wengine wote tulikuwa tunapigana vikumbo huko barabarani
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah! Kumbe umeona? Nilikua nazingua tuSalama kabisa.
Naona unalalamika jua kali hadi unashindwa hata kutoka,pole bhana
Hata mimi naona[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimekopa akili za daemusin kidogo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wa kishua aiseee leo umeziamulia mbavu zangu. Uwiiii zinaumaaJuzi nilipita mitaa yetu huku uswahilini kuna njia ina maji machafu alafu kuna wamama wananawisha kwa 200, basi na mimi nilikanyaga nikanawishwa na picha ya ushahidi ninayo. Karibu uswazi mpendwa
Kweli.Duh maskini. Enzi hizo za ligi ya zari kuna binti mmoja aliposikia mama yake zari anaumwa kwake ikawa shangwe na kejeli kede kede ,na habari za msiba zikawa burudani kwake. Zikapita wiki mbili akaja na uzi wa kuomba msaada mama yake anaumwa nikamkumbusha comments zake kwa msiba wa mama ake zari aisee lilimshuka lakini alilalamika mno(kwa style ya mama yake ni muhimu kuliko yule aliyekua anamkejeli). Wanaokejeli wengi hayajawapata yakiwapata wanaumia sana na kuona wameonewa zaidi ya wenzao
Wakishua huwezi kuelewa haya mambo 😃😃Aiseeh!!
[emoji23][emoji23]Huku mbagala mkifika mnishtueee
[emoji23][emoji23][emoji23]Heeee carbamazepine aunt ana kazi jamani hawa lastborn wa nowdays majanga 555555555555
#ujihaunyweki
#jotokali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] leo raha sanaMpendwa matumizi mabaya ya pesa kwani hayo maji yalikuwa yananuka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watoto wa kishua hawa shida tupu.
Wanaogopa kutoka nje jua litaharibu ngozi[emoji23][emoji23]
Aunt kapatikana waaah
Lugha ya kiswahili kama hivi!!!
Fenesi haliliwi bila mafuta, lazima upake mikono mafuta Ili lilile vizuri. Wabishi wanakula bila kupaka mikono mafuta Na wanadai utamu WA fenesi Ni Utomvu. Tunda hili halioshwi Na Utamu wake ni pale unapolamba mikono….
Bungo kiutaalamu lazima ulitie kidole ndio uliweke mdomoni. Likiwa mdomoni raha yake limumunywe taratibu mpaka utamu uishe. Wajuvi huwa hawali bila chumvi, huwa linatiwa chumvi kasha linatiwa kidole wanalikoroga na kidole mwisho wanalimumunya. Utamu wake unakilea pale unapolamba kidole…
Sent using Jamii Forums mobile app
Usiumie sana ila ujifunze pia.Mimi sikucomment mzaha ila naumia maana alishawahi nipm maskini mimi[emoji24][emoji24][emoji24]
Niliona tu jina miguu ya kuku,sikufungua..
Baada ya mwezi nikaja kuifungua na kujibu.
Hakureply Tena na Mimi sikukaa hata kufwatilia ,laiti ningetenga muda na kufwatilia,ningekumbuka Kama ndiyo yeye mpauko.
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂😂 nilijua tu nitaonekana muongo ila uzuri nilichukua ushahidi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wa kishua aiseee leo umeziamulia mbavu zangu. Uwiiii zinaumaa
Siku hizi nimeacha hii tabia yaan uzi wa kuomba msaada napita kulee nisije ropoka bure.Kweli.
Kuna watu wanaona shida wapate wenzao na watu kama hawa maneno ya kejeli huwa yamewajaa ila wakipata wao shida wanaona wamekosewa na kuonewa.
Mtu anapokuja kuomba msaada humu mitandaoni au hata mtaani kama huwezi kumshauri ni bora ukae kimya,na wengi tunakosea hapa.
Tumezoea kukatishana tamaa na kuchukulia kila kitu ni utani.
Maisha haya!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hewalaaa haya connection muhimu tupia hio picha tuone😂😂😂😂😂 nilijua tu nitaonekana muongo ila uzuri nilichukua ushahidi