Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Inna lillah wainna ilaihyi rajiun,
Sikujua kama amefariki.
Kwenye orodha ya wale Majenerali waliompindua mfalme wa mwisho wa misri Fuad ii, 1953, huyu bwana amepata kifo cha mateso kilichoenda sambamba na adhabu za wanadamu hasa kutokana na vile alivyowafanyia watu wake alipokuwa madarakani

Sent using Jamii Forums mobile app
Alikua mkono wa chuma
 
Bro na Spenko wapi na wapi?[emoji23]
Bro sema mitaa yako ni undali, Kidugaro, Alikhan, Maweni. Upanga huko.
Kama siyo hivyo basi tuseme unaishi mitaa ya Luthuli, Milambo, Barrack Obama, yaani kule makao makuu ya washua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tutembeleane bhana me ngoja nitakutajia jina la kituo changu baadae mana bado ni mgeni huku nimehamia juzi kutoka huko Spenko
 
Bro na Spenko wapi na wapi?[emoji23]
Bro sema mitaa yako ni undali, Kidugaro, Alikhan, Maweni. Upanga huko.
Kama siyo hivyo basi tuseme unaishi mitaa ya Luthuli, Milambo, Barrack Obama, yaani kule makao makuu ya washua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahah! Bro unajua mitaa yote huku kama Diwani wetu.....

Kuna mtu alinielekeza kama unataka kuja kwetu panda magari ya Buguruni Mnyamani shuka Spenko au njia panda ya mfereji mchafu
 
Kweli kbs mkuu
Inna lillah wainna ilaihyi rajiun,
Sikujua kama amefariki.
Kwenye orodha ya wale Majenerali waliompindua mfalme wa mwisho wa misri Fuad ii, 1953, huyu bwana amepata kifo cha mateso kilichoenda sambamba na adhabu za wanadamu hasa kutokana na vile alivyowafanyia watu wake alipokuwa madarakani

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli kabisa. Ndo maana huwa sipendi kufunguka sana humu. Nikiwa na wakati mgumu napotea kwa muda au nakuwepo kuperuzi tu nikiwa sawa naanza kuchati. Haya mambo ya kufunguka sio kabisa japo kuna baadhi wanafanikiwa kupata msaada
Imenibidi nisome nyuzi zake alizoandika marehemu japo baadhi ya member wanaandika walimsaidia kazi,marehemu alikuwa anahitaji ushauri zaidi na kuwa karibu na mtu wa kumpa faraja inaonesha alikata tamaa na soluhisho kwake ilikuwa ni kifo kuna nyuzi moja nimesoma amejaribu kujiuwa mara mbili kwa kunywa sumu ya panya na kumeza wembe inasikitisha mno.
 
SHIMBA YA BUYENZE Davet ma last born inawahusu [emoji3]
20200223_172948.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Imenibidi nisome nyuzi zake alizoandika marehemu japo baadhi ya member wanaandika walimsaidia kazi,marehemu alikuwa anahitaji ushauri zaidi na kuwa karibu na mtu wa kumpa faraja inaonesha alikata tamaa na soluhisho kwake ilikuwa ni kifo kuna nyuzi moja nimesoma amejaribu kujiuwa mara mbili kwa kunywa sumu ya panya na kumeza wembe inasikitisha mno.
Hatari sana.
 
Back
Top Bottom