Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sawa mswahili, tumekusoma[emoji23][emoji23]
Lugha ya kiswahili kama hivi!!!
Fenesi haliliwi bila mafuta, lazima upake mikono mafuta Ili lilile vizuri. Wabishi wanakula bila kupaka mikono mafuta Na wanadai utamu WA fenesi Ni Utomvu. Tunda hili halioshwi Na Utamu wake ni pale unapolamba mikono….

Bungo kiutaalamu lazima ulitie kidole ndio uliweke mdomoni. Likiwa mdomoni raha yake limumunywe taratibu mpaka utamu uishe. Wajuvi huwa hawali bila chumvi, huwa linatiwa chumvi kasha linatiwa kidole wanalikoroga na kidole mwisho wanalimumunya. Utamu wake unakilea pale unapolamba kidole…

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba niwaambie kuwa mitihani yote utakayoipitia ni mpango wa Mungu.
Kwahiyo si vema kuanza kutangaza hadharani mitihani unayokutana nayo.
Mahali hapa siyo salama, Shetani yupo kazini, aghalabu kupata ushauri utakao kufaa
Ule uzi umeniuma sana mno,mimi hata niwe na shida vipi sitokuja kuomba ushauri jf au kwenye mitandao nife tu na siri yangu yaani unaweza kujikuta unajichukia na kujuta why umeaomba ushauri au kuandika uzi. Kuna members humu kazi kukatisha wazao tamaa
 
.
FB_IMG_1582631093221.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom