moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Mwambie atutembelee kiwalani kwa Gude aone mimaji michafu tunayokunywaga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wenzio hayo maji tunakanyaga kila siku.
Wewe naona unashangaa na kinachonishangaza zaidi ni kuoshwa miguu.
Ukija kwetu mchikichini si utataka ubebwe mgongoni[emoji23][emoji23]