myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
👍 👍6. Chukua ukwaju roeka then chuja halaf kando chukua custard na maji mix bandika kwenye jiko pika mpk iwe nzito then mix na ukwaju na maji kiasi chako ongeza sukari weka kwa fridge ipate baridi
Nimeona video yake ni editing hioJoka laonekana Baharini [emoji2089][emoji2089][emoji2089]View attachment 1368821
Hehehehehe aiseeee wakati jibu unaloKuutingisha mti ndio nini Anko?
February 25.
Leo ni siku yangu ya kuzaliwa.
Siku kama ya leo miaka kadhaa iliyopita nimeletwa Duniani.
Sasa ni rasmi nauendea UHENGA
Ankooo nakuonaaaaAchana na huo "mti" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukitwanga makumi matano kifuatacho ni afya kudhoofika taratibu kwa kila namna ya style...
Sent using Jamii Forums mobile app
Congrats moud. Happy birthday to yoooouuuuFebruary 25.
Leo ni siku yangu ya kuzaliwa.
Siku kama ya leo miaka kadhaa iliyopita nimeletwa Duniani.
Sasa ni rasmi nauendea UHENGA