Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahah! Hiyo hatari sana bro......

Ila huyo mwana wa K/koo to Gomz sio poa hicho kipande kirefu sana na ushujaa wake utakuja endapo akielezea kwanini aliku anatembea umbali mrefu kiasi hicho
 
Huyo jamaa wa Panya. Daah πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Alikuwa ana anausaka ushujaa,
Anadai mfukoni alikuwa na sh 167,000.
Toka KAMATA mpaka Gongolamboto mwisho wa lami ametumia masaa matatu, amekunywa maji lita tatu na njiani ameokota sh alfu moja[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahah! Hiyo hatari sana bro......

Ila huyo mwana wa K/koo to Gomz sio poa hicho kipande kirefu sana na ushujaa wake utakuja endapo akielezea kwanini aliku anatembea umbali mrefu kiasi hicho
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Alikuwa ana anausaka ushujaa,
Anadai mfukoni alikuwa na sh 167,000.
Toka KAMATA mpaka Gongolamboto mwisho wa lami ametumia masaa matatu, amekunywa maji lita tatu na njiani ameokota sh alfu moja[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…